September 05, 2016

Ni Septermber 5, 2016 ambapo stori iliyochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Pro. Ibrahim Lipumba kujiunga kwenye chama cha ACT-Wazalendo.

Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata afisa habari wa ACT- Wazalendo, Abdallah Hamis ameyaongea haya>>>>Mpaka muda huu viongozi wetu wapo kwenye vikao vya Chama na tumepokea SMS nyingi kwamba Pro.Lipumba ndio anajadiliwa lakini sio kweli hizo taarifa ni za uongo kitakachojadili wa tutawaambia waandishi wa habari’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Abdallah Hamis kuhusiana tetesi za Pro.Lipumba


                           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE