September 12, 2016


  

Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.
Imesema tetemeko limetokana na misuguano ya mapande makubwa ya ardhi iliyopasuliwa na mipasuko ya ardhi mithili ya mipasuko kwenye bonde la ufa
.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE