September 08, 2016



0906-kanye-west-pope-francis-tmz-getty-3

 Ama hakika, stress za Kanye West kwenye fashion zimeondoka rasmi.
Ni kwasababu kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, rapper huyo mropokaji, ameingiza $780,000 kwa usiku wa Jumatatu pekee kwa mauzo ya bidhaa zake za nguo kwenye ukumbi wa Madison Square Garden.

0906-kanye-pope-francis-msg-3
Mauzo hayo yamevunja rekodi ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis ambaye mwaka jana aliingiza $540,000 kwa mauzo ya bidhaa za waumini kama vile rozali, misalaba na vingine kwenye ukumbi huo maarufu jijini New York.
Kanye alikuwa akitumbuiza kwenye ziara yake huku pia akiuza nguo na vitu vingine anavyotengeneza

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE