Leo August 19 2016 zimesambaa taarifa zilizomhusu mkuu wa mkoa wa Ausha, Mrisho Gambo, taarifa hizo zilidai kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi wa mkuu huyo wa mkoa hata hivyo ikulu imekanusha taarifa hizo kuwa hazina ukweli wowote.
RC Gambo wakati akiwa kwenye kikao na wafanyabiashara amelizungumzia hilo pia na kusema watu wapuuze taarifa zilizotolewa kwenye mitandao kwamba ametenguliwa kwenye nafasi yake na amesema Rais amempigia simu akamwambia anamwamini na ataendelea kukaa Arusha kwa ajili yakufanya kazi kwa ajili ya wananchi. Sikiliza hapa Chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment