DjDommy maarufu kama Mr. Washa Washa, International Dj amefanikiwa kuchukua Tuzo ya Dj Bora wa Afrika kwenye tuzo za AFRIMMA Mwaka 2016 ambapo ameungana na watanzania Diamond Platnumz ambae amechukua tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki na Harmonize ambae ameshinda tuzo ya msanii bora Chipukizi kwa Afrika Mashariki.
Baada ya Djdommy kushinda tuzo hiyo ya Dj Bora wa Africa. Jaliluzaid.com imemvutia waya na kupiga nae stori kuhusu mapokezi yake ya tuzo ya AFRIMMA aliyoshinda na mipango yake mingine.
Baada ya Djdommy kushinda tuzo hiyo ya Dj Bora wa Africa. Jaliluzaid.com imemvutia waya na kupiga nae stori kuhusu mapokezi yake ya tuzo ya AFRIMMA aliyoshinda na mipango yake mingine.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment