Zile ahadi za vyombo vya usafiri zilizoahidiwa kutolewa na Mkuu wa Mkoa
Mh.Paul makonda Bw. Said Ally aliyejeruhiwa na kutolewa macho na Scopion
zimeanza kutolewa leo kwa Bajaji mbili ambazo zilikabidhiwa na shekhe
mkuu wa kidunia, Mabohora.
"Nashukuru
uongozi wa msikiti wa Mabohora kwa kunisaidia, pia shukrani zangu kwa
@cloudsTV na @Cloudsfm kwa kunisaidia maana wao wamenipigania sana mpaka
kufika hapa nilipo, vyombo vyote vya habari wananchi wote kwa maombi
yao na michango yao kwa hali na mali." Saidi Ally
0 MAONI YAKO:
Post a Comment