Habari mpenzi msomaji. Karibu katika kurasa za Magazetini leo . Leo hioi ni siku ya Jumapili ya 16 Octoba 2016. Tumekukusanyia kutrasa za mbele na za nyuma za magazetini yako ya hapa nyumbani. Habari kubwa zilizobeba uzito ni hizi
Korea Kaskazini yafanya tena jaribio la kombora
Korea Kaksazini imefanya tena jaribio la kombora
la masafa mafupi kuelekea Japan. Kombora hili ni la tatu kurushwa na
Korea Kaskazini katika kipindi cha wiki tatu.
Korea Kaskazini imeendelea…Read More
Porojo za Dodoma Haziniumizi Kichwa – Halima Mdee
Baada ya taarifa kuenea kwenye vyombo vya habari kuwa Mh.Halima Mdee na
Ester Bulaya, kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge hadi
2018/19, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ametoa kauli yake ya kwanza.
Mdee am…Read More
Kagame atangazwa kuwa mgombea Urais Rwanda
Katika hatua iliyowashangaza wengi nchini Rwanda vyama viwili vya siasa
vikongwe nchini humo vimemtangaza Rais Paul Kagame kuwa mgombea wao
katika uchaguzi wa urais utakaofanyika mwezi wa 8 mwaka huu, kabla hata
chama ch…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment