Wana wa Sumbawanga wakaweka tiki kwa kicheko
Tamasha la burudani Tanzania Fiesta, hatimaye usiku wa jana limekita katika mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga. Ndani ya uwanja wa Nelson Mandera wakazi wa Sumbawanga kwa mara ya kwanza katika Historia ya Fiesta tangu kuanzishwa kwake imewapagawisha wakazi wake kwa bonge la Burudani kutoka katika listi ya wasanii wao. Mambo yalikuwa hivi
Iliuwa zamu ya Ben Pol
Mahaba niue niponde ponde kama........! @mauasama mtoto mzuriiiiiii aliebarikiwa sauti akikiamsha na #OdamaBand ndani ya uwanja wa Nelson Mandela #Sumbawanga
Kutoka Tanzania House of TALENT anaitwa Nandy
Jux akiimba na wana Sumbawanga
Tuli mmis sana jukwaani, akaibukia Sumbawanga, Wanamwita quickrocka akiwaonyesha wafipa aka watani zake namna ya kucheza
Jamaa alivyopanda tu gari la Fiesta, hajawahi kushuka mpaka leo. Anaitwa Darassa
Tathmini inaonesha kwamba mrbluebyser ndiye msanii anayekimbiza katika Fiesta zote
Shishi akiwa Jukwaani

0 MAONI YAKO:
Post a Comment