
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KESI DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE:
THE Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) tunapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi wa CUF na watanzania wapenda mabadiliko nchini kwa ujumla kuwa shauri lililofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF(THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT(CUF-CHAMA CHA WANANCHI) dhidi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini(THE REGISTRAR OF THE POLITICAL PARTIES)-1, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL)-2, Prof Ibrahim Haruna Lipumba-3, Magdalena Sakaya-4, Maftaha Nachuma-5, Abdul Kambaya-6, Masudi Omari Mhina-7, Thomas Malima-8, Kapasha H. Kapasha-9, Musa Haji Kombo-10, Habibu Mnyaa-11, Na haroub Shamis-12.
Imepangwa kutajwa kwa mara ya kwanza tarehe 10 NOVEMBER, 2016 katika
Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji KIHIYO.
HAKI SAWA KWA WOTE
Maharagande
KNMHUMU
HAKI SAWA KWA WOTE
Maharagande
KNMHUMU
0 MAONI YAKO:
Post a Comment