Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa
(underperforming Loans) lakini pia CRDB walikuwa wana limbikizo kubwa la
deni la kodi la muda mrefu.
Mwaka 2015 kwenya taarifa yake ya robo mwaka muda kama huu CRDB ilipata faida ya Shilingi bilioni 37.9 baada ya kulipa kodi na tozo nyingine.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment