Muigizaji wa Marekani, Sylvester Stallone maarufu kwa jina
la Rambo amemtembelea bondia Manny Pacquiao kwenye kambi yake ya Wild
Card gym ya Hollywood .
Pacquiao yupo nchini Marekani kwa ajili ya pambano lake na bondia
Jessie Vargas la WBO uzito wa welterweight ambalo lifanyika Novemba 5 ya
mwaka huu mjini Las Vegas.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment