

Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka leo hii, Juu ya kituo cha radio kinachosikilizwa zaidi nchini, Kituo cha Radio cha Clouds Fm kimezidi kuongoza kwa kupanda kwa kasi sana tofauti na mwaka jana. Utafiti huo unaofanywa na Shirika la Utafiti la Geo Poll, umeonesha Clouds kupanda kwa ratings 0.9 na kuwaacha wapinzani wake mbali sana
Katika matokeo hayo, E. Fm wameshika nafasi ya pili na East Africa Radio washika nafasi ya tatu. Radio nyingine ni Rdaio Free Africa,Radio One Stereo, T B C FM na Times Fm

Takwimu Kamili ni hii


0 MAONI YAKO:
Post a Comment