Usiku wa 8 Oct kuamkia 9 itakuwa ni siku ya kihistoria kwa wakazi wa Mombasa nchini Kenya kufuatia kufanyika kwa show kubwa kabisa ya Mombasa Rocks Music Festival, iliyowakutanisha mastar wa Afrika na Dunia. Wizkid kutoka Nigeria na Star mkubwa kabisa Duniani Chris Brown.Lakini katika Show hiyo pia watanzania wawili waliweza kushiriki katika jukwaa hilo. Ally Kiba na Vanessa Mdee. Hii hapa ni show ya Vanessa katika jukwaa hilo usiku wa kuamkia leo
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
29 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment