Leo Ijumaa Novemba 4 2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli alifanya majhojiano na wana habarikatika viwanja vya Ikulu jijini Dar Es Salaam.katika mkutano huo, Rais John Magufuli amezungumza kuhusu muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ambao tayari umewasilishwa bungeni na Waziri wa Habari, Nape Nnauye.
Rais Magufuli amesema haoni sababu ya muswada huo kuongezewa muda wa kujadiliwa kwani kwa muda mrefu umekuwa ukisogwezwa mbele na kushindwa kutungiwa sheria hivyo ni vyema kwa sasa unafikishwa bungeni ili utungwe kuwa sheria.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment