
Kushoto ni Diwani wa kata ya Shule ya Tanga iliyopo Songea mjini mkoani Ruvuma kupitia tiketi ya Chama Cha Demoklasia na Maendeleo ( CHADEMA )Mussa Ndomba aliyejivua uaanachama na kujiunga Chama tawala cha mapinduzi (CCM) akimkabidhi kadi mwenyekiti wa CCM mkoa wa RUVUMA Mh. ODDO MWISHO. kwa undani zaidi wa habari hii bonyeza play hapo chini .
0 MAONI YAKO:
Post a Comment