
November 20, 2016
1:45 PM
Machaku
No comments

Instagram ndio mtandao unatoa toa mtonyo mrefu haswa katika watu wengi
kupata matangazo watu ambao waliokuwa na wafuasi wengi yaani ‘Followers’
wanapiga pesa sana japo mitandao mingine pia inapiga pesa .
1.KEVIN SYSTROM
2.MARK ZUCKERBERG
3.JACK DORSEHuyu
naye ndio mmiliki wa mtandao wa Twiter mkazi wa Marekani , huu
unaaminika kuwa mtandao unaowakilisha watu wanaojielewa haswa wengi
wanatumia mtandao huu ku-Tweet na kupashana habari mbalimbali jamaa
anamiliki mtonyo wa Dola za Marekani 1.2 Bilioni hadi kufukia mwezi wa
nane mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment