Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, limezuia mkutano wa Chama cha Wananchi CUF uliopangwa kufanyika leo hii.
Sababu za kuzuiwa kwa mkutano huo uliopangwa kufanyika katika viwanja vya Chuo cha SAUT na kuhutubiwa na Katibu mkuu Maalim Seif Sharif Hamad bado hazijawekwa wazi lakini awali jeshi hilo lilisitisha mikutanonya Hadhara ya kisiasa mpaka hapo tamko litakapotolewa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment