November 19, 2016

Tokeo la picha la shilawadu

Siku za hivi karibuni, kuna video na picha zilizosambaa mtandaoni zinazowahusisha madam Wema sepetu na Model wa Tanzania Calisah picha ambazo zilimtia hatiani Calisah. Sasa basi ukweli ni huu. Calisah amefunguka kila kitu kupitia D'' Wikend Chat Show maarufu kama Shilawadu. Calisah povu linamtoka sasa Bofya happo chini kutazama Video
                     

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE