November 22, 2016

microphone
Kituo cha runinga cha MTV Base kimeyataja majina ya wasanii kumi wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwa sasa nchini.
Namba moja ya orodha hiyo imeshikiliwa na rapper Fareed Kubanda aka Fid Q huku kundi la Weusi likifanikiwa kuingiza wasanii watatu kwenye ordha hiyo. Tazama orodha kamili hapa chini.

1)Fid Q
2)Joh Makini
3)AY
4)Mwana FA
5)ROMA
6)Mr. Blue
7)Nick wa Pili
8)G Nako
9)Prof Jay
10)Chindo Man

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE