Ule wimbo uliokuwa unasubiliwa kwa hamu kubwa sana uliofanywa na wanamuziki wawili wakubwa, kutoka Marekani Neyo na kutoka Afrika Diamond Platnumz upo tayari. Hapa tumekuwekea wimbo huwo ambao siyo maalum, ila kwa kuwa unashauku nya kuuskia, tumeuleta hapa uuskie. Wimbo maalum utakuja na Video yake
November 20, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment