Baada ya kupotea kwa muda kidogo, Mwanamuziki Azma Mponda ametuletea video ya wimbo wake mpya kabisa aliomshirikisha sumu toka Moro Town Belle 9. Wimbo unaitwa Astara Vaste
Christian Bella anakupa huu wimbo wake mpya amerudi
Baada ya kujiuliza na wimbo wake mpya wa ameondoka, sasa Christian Bella mfalme wa masauti amekuja na majibu haya, huu ni wimbo wake mpya alioimba na Malaika Band, unautwa amerudi.
Download hapo chini
…Read More
Lowassa, Arusha ni gharika, waziri Marsha ajiunga CHADEMA
1.Lawrence Masha akabidhiwa kadi na Mbowe (waziri w zamani wa mambo ya ndani)
2.Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
3.Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
4.Sioi Sumari (huyu alikuwa mshindani wa Joshua Nassari Arumeru Ma…Read More
Kala Pina kugombea udiwani kwa ACTMsanii wa muziki wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi …Read More
New Audio: Mzalendo - Suma G
Huyu jamaa ni kutoka Hot Pot Family, kitambo sana alipote. Ni mzee wa Usawhili Suma G, anakualika kusikilza wimbo wake mpya uitwao mzalendo.
Download hapa chini
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment