
Darassa ni moja ya miungoni mwa wanamuziki wa Hip Hop wanaofanya vizuri sana nchini. Hivi karibuni aliachia wimbo wake wa - Too Much. Wimbo uliotokea kufanya poa sana kila kona na nje ya Tanzania. Sasa Darassa amekuja tena na wimbo mwingine unaitwa Muziki aliomshirikisha Ben Pol
0 MAONI YAKO:
Post a Comment