Breaking News:Producer Emma The Boy apata ajali mbaya
Producer maarufu wa THT,
Emmanuel Maungu ‘Emma The Boy’ amepata ajali mbaya ya gari hivi punde
maeneo ya Kabuku karibu na Segera, Tanga wakati akitokea Dar es Salaam
kuelekea nyumbani kwao, mkoani Tanga.
Imeel…Read More
Zitto Kabwe na mkewe wapata mtoto wa kike
Mbunge wa Kigoma Mjini
na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Zitto kabwe na mkewe wamebahatika
kupata mtoto wa kike leo hii. Katika taarifa yake Zitto anasema
Mimi na Mke wangu mpendwa tumebarikiwa na Allah kupata mtoto…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment