Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. JohN Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya Binadamu -NIMR Dokta Mwele Malecela. Uteuzi wa kujaza nafasi hiyo uiliyoachwa na Dokta Malecela utatangazwa baadaye.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais IKULU
Dar Es Salaam
16 Desemba 2016
0 MAONI YAKO:
Post a Comment