Ikiwa zimebakia Siku kadhaa mwaka 2016 kumalizika na kuingia mwaka mpya wa 2017, Benki ya EXIM imefanya mkutano mkuu wa kufunga mwaka ambao umehusisha mameneja wa matawi ya benki hiyo nchini.
Katika mkutano huo, kila meneja alipata nafasi ya kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa huduma wanazotoa kwa wateja wao, changamoto ambazo zinawakabili na kutaja mambo ambayo wanahitaji kufanyiwa ili huduma ziwe bora zaidi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment