December 20, 2016

Tukielekea kuumaliza mwaka 2016 Tayari kwenye maeneo kadhaa ya muziki yameanza kutolewa matokeo, miongoni mwa matokeo ambayo yametolewa ni pamoja na Watayarishaji (Producers) waliofanya vizuri 2016 ambayo list hii imetangazwa na kipindi cha XXL cha Clouds Fm leo hii. Kwa mujibu wa kipindi hicho, vigezo vilivyotumika zaidi ni kuangalia nyimbo zilizotoka kwenye studio hizo ambazo zimefanya poa sana kwa mwaka huu

LIST NZIMA HII HAPA
1: Ema The Boy/Soroud
1 -Kajiandae –Ommy Dimpoz feat Alikiba
2-Nisamehe – Barakah feat Alikiba
3-Nagusa gusa – Nandy
4 -Mahaba Niue – Maua Sama
5-Sisikii – Maua Sama
6-Moyo Sukuma damu – Ditto

2: Nahreel/The Industry
1-Kamatia Chini – Navykenzo
2-Original – G nako
3-Usiende Mbali – Nedy Music ft.Ommy Dimpoz
4-Feel good – Navykenzo

3: Mr T Touch.
1-Too much –Darasa
2-Komela Dayna Nyange/BillNass
3 -Muziki – Darasa(Mixing&Mastering).
4-Heya yahe – Darasa
5-Chafu Pozi – BillNass.
6-Jike Shupa – Nuh Mziwanda
7-Mtoto Mdogo – Shilole ft Manfongo

4: Lufa/Switch Records
1-Arosto – G nako
2-Sweet Mangi – Nikki wa Pili
3 -Perfect Combo – Joh Makini
4-Hapo – Quick Rocker/G Nako/Jux

5: Jobanjo/Njoo Studio
1-Namjua –Shettah
2-Step by Step – Msami

6: Lizer/Wasafi Records
1-Bado – Harmonize ft Diamond Platnumz
2-Kwetu – RayVanny
3-Ibaki Stori – Rich Mavoko
4-Kidogo – Diamond Ft P Square
5-Inde – Dullysykes ft Harmonize
6-Salome – Diamond & RayVanny
7-Namjua – Shettah (Mixing&Mastering).
8-Kokoro – Rich Mavoko (Mixing&Mastering)

7: Bob Maneck/AM Records
1-Siwezi – Barakah Da Prince
2-Wivu – Jux.

8: Daxo Chali/Mj Records
1-Kidebe – Dogo Janja
2-Sawa – Shaa
3-Migulu Pande – Madee.
4-My life- Dogo Janja

9: ABYDADY/CHAIDERS RECORDS
1-Aje – Alikiba
2-Kokoro – Rich Mavoko(Beat)
3-Samaki – Galatone

10: ABAA
1 -KAMA UTANIPENDA – DARASA
2 -MUZIKI – DARASA (Beat)
3-UMENIWEZA – IZZO B (AMAZING)NEW

11: MESSEN SELEKTA
1-Hainaga ushemeji – manfongo
2-Kazi kazi  – Prof.Jay ft Sholomwamba
3-Popolipopo- Pam D
4.Ghetto – Sholomwamba
5-Debetupu – Tundaman
Tupia maoni yako hapo chini, nambie list unaionaje?

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE