
Mtangazaji mahili wa kike nchini Tanzania na ndiyo mtangazaji mwenye mashabiki wengi kwa watangazaji wa kike Afrika Mashariki na kati toka Clouds Media Group Diva Loveness Love, amepost nyumba yake anayoijenga na kuwataka watu wasimchukulie poa.Diva amepost hayo kupitia AC yake ya Instagram leo hii huku picha ya nyumba hiyo yenye ghorofa moja ikiwa bado haijaisha
0 MAONI YAKO:
Post a Comment