
Ajali ya Treni iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani leo hii inayohusisha Treni ya Abiria kutoka Kigoma kuelekea Dar Es Salaam kuacha njia na kudondoka, wamepatikana majeruhi watano. Majeruhi hao wapo katika Hospitali ya Tumbi wilayani Kibaha mkoani Pwani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment