Mwanamuziki Kassim Mganga kutoka Manzabehi ametuletea video ya wimbo wake mpya kabisa unaitwa Somo. Katika wimbo huwo Kassim amewashirikisha Kilimanjaro Music Band wana wa Njenje wakiongozwa na mwana dada Nyota Waziri
New Vide: K-Cee -Turn By Turn
Moja ya wanamuziki wanaofanya poa sana nchini Nigeria na Africa kwa jumla ni huyu jamaa anaitwa K-cee. hapa nakupa firsa ya kuitazama video yake mpya kabisa
&…Read More
VIKOSI VYA YEMEN KIHOUTH MJINI SANA'A
Wanamapinduzi wa Kishia wa Ansarullah wa nchini Yemen wamepigana na
vikosi vya serikali huko Sana'a mji mkuu wa nchi hiyo. Watu
walioshuhudia wamesema kuwa, sauti za risasi na milipuko kadhaa
zimesikika huko…Read More
WANAFUNZI WAPINGA UNYAKUZI WA ARDHI
Polisi nchinikenya katiika mji mkuu
Nairobi leo imewafyetulia gesi ya kutoa machozi wanafunzi wa shule ya
msingi waliokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa ardhi waliyokuwa
wanatumia kama kiwanja cha kuchez…Read More
DONDOO 10 MUHIMU KWA WAZAZI NA WAZAZI WATARAJIWA
1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali
kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni mjomba
wake.
2. Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka 2 au zaidi. Jifunze kumw…Read More
IRAN YALAANI MAUAJI YA WANACHAMA WA HIZBULLH
Mohammad Javad Zarif
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali mauaji ya wanachama sita
wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon Hizbullah yaliyofanywa na utawala
haramu…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment