Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo hii Ijumaa ya 10 Febr 2017,amemteua kamishna mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya na kamishna mkuu wa uhamiaji.
Ben Pol nitafunga ndoa ya kimila
Staa wa Bongo Fleva anaye fanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya
‘Sophia’ Ben Pol amefunguka kuwa atafunga ndoa ya kimila kwenye harusi
yake.
Akipiga stori na Clouds Fm hivi karibuni,alisema kuwa atafunga n…Read More
JK: Sina mgombea urais
Licha ya idadi kubwa ya makada wa CCM waliojitokeza na wanaoendelea
kujitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais kupitia chama hicho
tawala, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake amesema hana mgombea,
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment