February 10, 2017

 

Ni zao jipya katika tasnia ya muziki wa bongo fleva nchini, mwana dada anaitwa Sasha kutoka mkoani Morogoro, amekuja na wimbo wake mpya kabisa unaitwa Valentine. Wimbo umefanywa na producer Matajili Wille kutoka katika studio za Mahewa Records za mjini Morogoro


    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE