

Katika kuelekea 40 ya mtoto wao princenillan , Diamond na Zari walifika Clouds Fm katika kipindi cha Leo Tena siku ya jana.
Wawili hao walihojiwa kuhusu 40 ya mtoto wao ambayo itafanyika Jumamosi hii ( Feb 11 ) huko Madale.
Lakini pia, tulijionea #MapenziMubashara kati ya @diamondplatnumz na @zarithebosslady ( mabusu na madeko hapa na pale ).
0 MAONI YAKO:
Post a Comment