
Mwanamichezo aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma nchini Tanzania Alex Kajumulo, yupo katika hatua za mwisho za kufungua maduka yake ya vifaa vya michezo nchini Tanzania. Alex Kajumulo anayemiliki kampuni ya Kajumolu word Soccer tayari yupo jkatika hatua za mwisho huku akiwa ameshakamiliosha taratibu za usajili

0 MAONI YAKO:
Post a Comment