February 15, 2017

Image result for diamond aitwa polisi 

Mfalme wa nyimbo za Bongo fleva Diamond Platnum, leo hii ameitwa kituo cha polisi. Kupitia katika ukurasa wake wa Instagram Diamond ameeleza kile kilichomfanya akaitwa polisi.

Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na Vidoe Clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza.... Nikapewa Onyo na Kulipa faini kulingana ya Mujibu wa sheria... tafadhali watanzania na Vijana wenzangu... tuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE