Mwigizaji Wema Sepetu leo alienda tena Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 15 March 2017 baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi bado haujakamilika
Yaone mapito ya Manji leo, kisha tamka ipo Kesho
Imeandaliwa na Luqman Maloto
Weka utaratibu wa kuingiza elimu mpya kwa kila tukio unaloshuhudia katika maisha yako. Hata ukishafikia umri wa makamu uitwe mtu mzima unayetibu. Ndiyo; utu uzima dawa!
Tafsiri ya ut…Read More
Tigo Tanzania yakanusha Manji kuhusika na kampuni hiyo
Yusuph Manji
Kampuni ya Simu za mkononi nchini Tanzania Tigo, imekanusha taarifa zilizosambazwa kwamba eti Mfanya Biashara Yusuph Manji ana hisa katika kampuni hiyo. Kupitia ukurasa wa Facebook Tigo Tanzania, wam…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment