
Yusuph Manji
Kampuni ya Simu za mkononi nchini Tanzania Tigo, imekanusha taarifa zilizosambazwa kwamba eti Mfanya Biashara Yusuph Manji ana hisa katika kampuni hiyo. Kupitia ukurasa wa Facebook Tigo Tanzania, wamechapisha taarifa za kukanusha uvumi huo na kuamua kuchukua hatua za kisheria

0 MAONI YAKO:
Post a Comment