February 12, 2017

Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.

Katika Ukarasa wake wa Instagram Paul Makonda Ameanza kwa kuandika "Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana“

Pia akaenda mbali zaidi na Kusema kuwa Mungu hajalala kama watu wanavodhani hii ikiwa na Maana kuwa kila akifanyacho yu Pamoja na Mungu na Mungu anamsimamlia kwa kile anachokifanya

“Wimbo unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma kutaka jambo litakua“

“Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa

Related Posts:

  • Brand New Audio: Harmonize - Nishachoka Kutoka W C B jumba linaloongoza kwa kutoa mastar wa muziki wa bongo Fleva, wanakuletea tena kwa mara nyingine wimbo mpya kabisa kutoka kwa Harmonize unaitwa Nishachoka. Download hapa sasa kuuskiliza wimbo huu mpya … Read More
  • Polisi yapiga marufuku kumuombea Lissu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu  CHADEMA Mkoani Rukwa kimeshindwa kufanya ibada ya maombi kwa ajili ya Mwanasheria Mkuu wa Chama chao, Mh. Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi hivi karibuni&… Read More
  • Magazeti ya IPP Media yapatiwa Leseni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam i… Read More
  • Breaking News: CHADEMA yapata Pigo, Diwani wake Afariki Ghafla    Diwani wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Mpwiniza amefariki dunia jioni hii.  Kifo chake kimesababishwa na shinikizo la damu amba… Read More
  • "Sikuwa nimejipanga"- Linah  Msanii wa bongo fleva, Linah Sanga. Msanii wa bongo fleva, Linah Sanga amefunguka na kudai hakuwa amejipanga kwa kipindi hiki kuwa na mtoto ila anamuomba Mungu isiwe kigezo cha yeye kupotea katika muziki … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE