Kwa mara ya kwanza kabisa leo hii Jumapili ya 12 Febr 2017 Askofu wa kanisa la ufufua Askofu Gwajima akiongoza ibada ya jumapili tangu atajwe katika orodha ya wanaohusika na biashara ya madawa ya kulevya
Divock Origi wa Liverpool Awazungumzia Alikiba na Diamond
Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu
ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba
kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi kutoka nchini Tanzania.
…Read More
Diamond Platnumz aeleza jinsi alivyoshangazwa na mapokezi LodWar
Mwanamuziki Diamond asema alishangazwa na mapokezi aliyoyapata alipofika LodWar huko Kenya.
Wiki mbili zimepita tangu msanii Platnumz alipofanya show huko Kenya
katika Club ya Marble na VIP Lounge. Ambapo show hiyo il…Read More
Francis Cheka amempiga Mserbia
Bondia Francis
Cheka wa Tanzania amempiga Mserbia Geard Ajetovic kwa pointi jijini Dar na
kunyakuwa ubingwa wa mabara usiku wa kuamkia leo. Sasa kuwania ubingwa
wa dunia.
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment