Mkali wa muziki wa Rap nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa jumla, ambaye ni mbunge wa jombo la Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA Professor Jay, ametuletea video yake mpya inayoitwa Kibabe
March 18, 2017
11:46 AM
Machaku
No comments
Related Posts:
HISTORIA Fupi ya Scorpion Mtoa Macho Inayozunguka Mitandaoni Alivyokuwa mdogo alikataa kusoma mama yake mzazi alishafariki siku nyingi na alikuwa akilelewa na mama yake mdogo maeneo ya Yombo buza. Alishawahi kufungwa jela japo haijajulikana alikosa nini, na jina lake kamili ni S… Read More
KIZAAZAA:Jamaa apanda juu ya mti, agoma kushuka,Polisi, TANESCO, Zimamoto wakusanyika kumshusha, imani za kishirikina zahusishwa Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Juma Vigogo, ametoa tukio la aina yake baada ya kupanda juu ya mti aina ya muembe na kukataa kushuka kwa muda wa zaidi ya masaa manne. Tukio hilo la aina yake limetokea katika… Read More
Mwandishi wa zamani wa BBC atua Azam FC Klabu ya Azam FC imemtambulisha Adbul Mohammed kuwa General Manager wa klabu hiyo ambapo mbali na utambulisho huo wameeleza lengo kuu la kumpa wadhifa huo ndani ya timu yao. C.E.O wa Azam FC Saad Kawemba amesema len… Read More
Huyu Ndiye Mwalimu Frank Msigwa Mtesaji Mkuu wa Mwanafunzi Huyu ndiye mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi aitwae Sebastian wa Mbeya sekondari school. Kwa sasa mwalimu huyu ameshafukuzwa chuo na Waziri Ndalichako na anatafutwa na Jeshi la Polisi. Neno moja k… Read More
ZITTO Kabwe: Tunamuheshimu Afande Sele CHAMA chetu kitalinda na kuheshimu mawazo ya Selemani Msindi (Afande Sele) ingawa wengine hawatopendezwa na hili, anaandika Wolfram Mwalongo. Ni kauli ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo aliyoiweka … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment