PREZZOO KULA SHAVU NENE.
Gazeti la DAILY POST limeandika kuwa mshahara atakaokuwa
anapokea Prezzo ni dola 720,000 kwa mwaka akiwa balozi wa One Campaign.
Fedha hizo ni sawa na shilingi bilioni 1, milioni 137 na ushee za Tanzania!…Read More
R.O.M.A APATA AJALI YA GARI.
Muda
mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA
amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro. Roma anasema alikuwa yupo
kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo
gari…Read More
SHIGONGO AFUGUKA KUHUSU CHAMELEONE!
MD wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, mapema jana ameongea na
media kuhusu madai ya Jose Chameleone kudai paspoti yake, ambaye juzi
alikwenda Ubalozi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment