Kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva, mwanamuziki Harmonize ametuletea video ya wimbo wake wa Niambie. Harmoniza anayetokea katika Lable ya Wasafi ameachia Video hiyo baada ya kufanya poa kwa Audio yake
DKT. SAMIA APIGA KURA CHAMWINO
-
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment