
Wakazi wa Mtwara Masasi wanaenda kuandika Historia ya Barabara, baada ya serikali kuahidi kujenga barabara hiyo yenye urefu wa km 210 kwa kiwango cha rami. Katika post yake Mkuu wa mkoa wa Mtwara bi Halima Dendego ameweka bayana ahadi hiyo ya Serikali kupitia kwa waziri mwenye dhamana hiyo Prof. Makame Mbalawa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment