March 01, 2017

Image result for salma kikwete 

Taarifa kutoka Ikulu Jijini Dar Es Salaam zinasema kuwa, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi na kumteua mke wa Rais mstaafu wa Tanzania mama Salma Kikwete kuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE