March 09, 2017

Image result for shilole 

Msanii filamu na muziki wa bongo fleva, Shilole amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hana ujauzito wowote bali ameridhika na maisha jambo ambalo limefanya aongezeke mwili na kunenepa licha ya watu kuwa na hisia kuwa huenda ana ujauzito.Shilole amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa kumi na mbili kamili.
"Mimi saizi sina ujauzito wowote sema nimenenepa tu maana nimeridhika na maisha haya haya, ukimya wangu ni kwa sababu nilikuwa nazipa ngoma nafasi saizi nimeamua kuja rasmi na wimbo wangu huu 'sitoi kiki' kwani nimegundua Watanzania wanataka burudani, saizi pesa hakuna hivyo nimeona bora nije kuwaliwaza na muziki mzuri huu" alisema Shilole 

Related Posts:

  • Msilipize kisasa: Malim Seif Katibu Mkuu wa CUF taifa Maalim Seif amewaasa wanachama wa cuf jimbo la Dimani kutolipiza kisasi kwa kitendo cha kuchomewa moto ofisi yao usiku wa kuamkia juzi. Maalim Seif ambaye ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar… Read More
  • Maharamia waziteka meli mbili za Iran    Kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia mihadarati na Uhalifu kimesema kuwa maharamia wameteka meli mbili za Iran za kuvua samaki katika ufuo wa Somalia. Utakeji huo ni wa kwanza kufaulu tangu mwaka … Read More
  • CCM wamuonya Nape kauli zake kwa Lowassa   Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) MKoani Arusha, Robson Meitinyiki, amemtaka K… Read More
  • Aliyebaka mtawa akamatwa   Polisi nchini India wamemtia mbaroni mwanamume mmoja kuhusiana na ubakaji wa mtawa mmoja wa Kanisa Katoliki katika makaazi ya watawa Magharibi mwa Bengal. Viongozi wa Kikristo nchini India wamekosoa Serikali kwa k… Read More
  • Tuzo za watu 2015 zazinduliwa rasmi leo, mabadiliko makubwa yafanyika   Mhariri mkuu wa Bongo5  Bw. Fredrick Bundara akiwa pamoja na mwariri msaidizi, Sandu George wakizungumza leo na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Tuzo za watu 2015 Kampuni ya Bongo5 Media Group, imez… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE