Kiwanda cha sukari cha Mtibwa chapigwa faini
Serikali imetoa siku saba kwa kiwanda cha sukari cha Mtibwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya kudaiwa kukiuka sheria za mazingira.
Baadhiya mambo yaliyobainika ni kukosa mfumo mzuri wa kuhifadhi na kusafirisha ta…Read More
Mkewe Will Smith atishia kususia tuzo za Oscar jada pinket
Je,Jada Pinket mkewe nyota wa filamu Will Smith hatashiriki katika tuzo za Oscar?
Nyota huyo aliandika katika mtandao wake wa Tweeter siku ya jumamosi akionyesha kukasirishwa na ukosefu…Read More
Nuh: "Nilificha maovu ya Shilole kwa maslahi ya penzi letu"
Nuh Mziwanda amedai kuwa aliyofanyiwa na Shilole ni mengi na mazito ambayo ilibidi ayafiche kwa maslahi ya penzi lao na heshima kwake. Akiongea kwenye kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii mbele ya S…Read More
Tamko la Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake.
Manejimenti ya sahara media group ikizungumzia juu ya taarifa hizo imesema haijapata barua au taarifa rasmi yeyote kutoka mamlaka ya mawasilano Tanzania TCRA ya kutakiwa kufunga vyombo vyake,
Imesema wamesh…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment