Waislam wote kusali Eid kesho
Waumini wa dini ya Kiislamu nchini siku ya kesho wataungana na waislamu wote duniani kusherehekea sikukuu ya Eid El ftli. Sherehe hizo zinakuja baada ya waislamu hao kumaliza siku 30 za mfungo wa Ramadhani lakini …Read More
Kurasa za Magazetini leo hii Julai 5
Habari za leo hii mpenzi msomaji, leo ni Jumanne ya 05 Julai 2016 sawa na Ramadhani 30. Tunakuletea kurasa za magazeti ya leo katika habari kubwa zilizobeba uzito leo hii.
…Read More
Young Dee awajibu Mtu Chee ‘sirudi kwenu asilani’
Rapper Young Dee amesema suala la yeye kuwapigia magoti
Stamina na Country Boy ili arudi kwenye kundi la Mtu Chee ‘halimake
sense.’
Stamina alidai kuwa kutoka kwa Young Dee kwenye kundi hilo kulitokana
na …Read More
Brand New Audio: Baby Boy - Diva ft Mr. Blue $ Bill Nass
Baad aya kukaa kimya kidogo katika upande wa muziki, sasa mwana dada Diva Loveness Love ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa Baby Boy. Katika wimbo huo Diva amewashirikisha Bill Nass na Mr. Blue. Wimbo umefanyi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment