Kufuatia mauaji ya polisi 7 yaliyotokea Jaribu Kibiti mkoani Pwani, jana usiku, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli ametoa salam za rambirambi kwa mkuu wa jeshi la polisi nchini I G P Mangu
Live: Kutoka katika stuio za Tongwe Records wasanii wakutana
Muda huu, wasanii na wadau wamekusanyika katika studio za Tongwe Records kujadili mustakabali wao kisanaa na matukio yanayowakuta kwa sasa, lakini kubwa zaidi na mjadala wa kujua nini kimewapata na wapo wapi kwa…Read More
Waandamanaji wanakusanyika kumpinga Jacob Zuma Afrika kusini
Maandamano ya vyama vya upinzani Afrika kusini pamoja na kundi linalo jiita Save South Africa yameanza katika kumshinikiza Rais Jacob Zuma ang'atuke madarakani.
Maandamano hayo yamepangiwa kufanyika nchi nzima.
Wa…Read More
Serikali yajivunia mafanikio sita ya TASAF
-
SERIKALI ya Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi Rais Samia Suluhu
Hassan...
The post Serikali yajivunia mafanikio sita ya TASAF first appeared o...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment