Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mama mchungaji Getrude Lwakatale ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum CCM , akichukua nafasi iliyoachwa wazi na mwana mama Sophia Simba baada ya kufukuzwa uanachama wa chama cha mapinduzi. Taarifa hii umethibitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi

0 MAONI YAKO:
Post a Comment