April 14, 2017

 

Waziri wa mambo ya ndani Mh. Mwigulu Lameck Nchemba mchan wa leo amefika katika Kijiji cha Jaribu Kibiti lilipotokea tukio la mauaji ya Askari polisi  8 jioni ya jana 


Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni.

Nchemba atatembelea kambi za askari polisi wa kanda ya Pwani na katika kata ya Bungu wilayani Kibiti.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE