Kufwatia ushindi alioupata Dayna Nyange wa kushinda tuzo mbili za BAE nchini Nigeria, taarifa zinasema Dayna ndiyo mwanamuziki wa kwanza kutoka Tanzania kushinda tuzo hizo, hapa Dayna amezizungumzia tuzo hizo na mpaka kufanikiwa kushinda kwake.
Machaku
0 MAONI YAKO:
Post a Comment